Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Ninachojua, kuna mambo yapasayo kuwashirikisha watu wetu wa karibu, lakini pia kuna mambo mengine yanabaki kuwa sirini. Mfano; Unapiga punyeto. Utaweza kumshirikisha mtu wako wa karibu juu ya jambo hili?
Hahahaaa....
 
Hongereni sana wengine hatujabahatika unakuta rafikyako nae ana rafikiyake shida zinaanzia hapo now tumetuliza makomwe yetu tu😀😀
Pole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.

Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
 
Aunt Yani Inakera unampenda rafiki unaficha aibu zake nyingi tu ila wew hata akikushauri kitu kidogo ujue alishaanza kukutangaza inachosha sikuhiz najifungia zangu ndani naperuz jf nikiwa na ubuyu nitampa bbywangu inatosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo maana ake shangaziiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.

Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
Baba yangu nikiwa mdogo sliwai niambia ni lazima kuwa na rafiki tulia kwenu

Hapo nilidundwa na rafiki wa utotoni nikarudi nalia
 
Wew ndo mtu Yani mtu had unatembea kituakizito Kwa ajili ya kumbeba mtu na mambo yake kumbe mwenzio hata ukinunua kijiko kipya ananuna hapna aisee
Mnawatoaga wapi 😑
Kiasili Mimi sio muongeaji na hata mtu akiongea huwa nakuwa msikilizaji zaidi kwa sababu watu wengine ni mitego but nna watu nnaowaamini ila nachuja vya kuwashirikisha. Kuna Mambo nitazikwa nayo I swear to GOD.
 
Pole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.

Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
Kumbe we ni mgunduzi.

Em chukua savanna moja ya moto hapo, bill alipe kipara
 
Pole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.

Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
Kabisa yaani muwe real nishawahi kuwa na rafiki anaongeasana kuliko mm Yani muongeaji balaa ni miak mingi ila mda mrefu hatuko karibu kidogo nilienjoy urafiki mdomowak wote hajawahi kunikorofisha sijawah sikia ananisema na ukinikwaza ananunua ugomvi Hawa mbwa wengine
Rafiki wa marafikizao huko unafki unafki tu😀😀
 
Mnawatoaga wapi 😑
Kiasili Mimi sio muongeaji na hata mtu akiongea huwa nakuwa msikilizaji zaidi kwa sababu watu wengine ni mitego but nna watu nnaowaamini ila nachuja vya kuwashirikisha. Kuna Mambo nitazikwa nayo I swear to GOD.
Kama uliua sawa
Baki nayo mwenyewe
 
Back
Top Bottom