Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Hapo kwenye visoda ndio shida hua inaanzia 🤣🤣Si ndio sasa. 💕
Visoda wanakutana na visoda
Afu ohooo trust no body
Wapiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye visoda ndio shida hua inaanzia 🤣🤣Si ndio sasa. 💕
Visoda wanakutana na visoda
Afu ohooo trust no body
Wapiii
Nakuamini na kukupenda pia best akeee 🥰
Hayo ndio maneno 😍😘Nakuamini na kukupenda pia best akeee 🥰
Kabisa 🥰Hayo ndio maneno 😍😘
Mengineyo ni mtu kujiongeza tu kipi Cha kufanya kipi sio Cha kufanya.
🤣 🤣 🤣 🤣Watu banna, eti siamini mtu yeyote,
Wakati Kalyanda ilikuja mukaiamini. Mkaweka pesa zenu mkapigwa.
Hongereni sana wengine hatujabahatika unakuta rafikyako nae ana rafikiyake shida zinaanzia hapo now tumetuliza makomwe yetu tu😀😀Nakuamini na kukupenda pia best akeee 🥰
You hit the jackpot luckyline 😍Lemme seee mmmmmh noooooo!! only my mom, she is my best friend, she is my secret keeper, in short she is my everything!
Hawa mashoga zangu wa umbea yaaninkwenye maisha lazima uwe nao kila mtu ana umuhimu wake.
1. Queen was 92% RIP
2 As..........................95%
2. Jul......................89%
3. Mag.................88%
4. Liz.......................85.%
Special friends ambao hawajulikani kwa hao juu. Ambao kwa sasa nawezankushare nao top secret
1, jen.................99%
2,mon.............99%
Ahaaaaaaaa my best friends wangu wa kiume hawa ni wengi sijui hata niwape % ngap? Watoto wa kiume hawanaga mbambamba, hawanaga baya wakifa hawataoza hata wakioza hawatanuka mafala wale wahanaga baya you know hawa ni friends ambao tunaishi kama bibi/babu na wajukuu zao ( hawa hatu-shei top secret😜) hata wakinipa zambi zao nabeba manina zao😂
Hawa tukipigiana simu utasikia:
Wao : We falar uko wapi?
Mimi : nimelala
Wao : we mpuuzi unalala kwa hela zipi ulizokuwa nazo?
Mimi: una jipya?
Wao : we si boss wangu bana mpuuzi wewe nilitaka kujua uko wapi sijakuona muda faler wewe
Mimi: we mpuuzi mbona unajiongelesha unataka kunipa hela?
Wao : kwani hela shida unataka sh. Ngapi?
Mimi: hayo ndo maneno
Wao: we faler skia nina vijipesa vinaniwasha afu wife kajinunisha humo ndani embu nipe no yule mtoto mzuri shoga yako yuleee....... akanipunguzie stress.
Mimi: we falar nini hujui anapoishi?
Wao: faster basiii
Mimi: 07.........
Wao: wewe mpuuzi zambi zako nibebe mimi ukifa shetani anichome mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lemme seee mmmmmh noooooo!! only my mom, she is my best friend, she is my secret keeper, in short she is my everything!
Hawa mashoga zangu wa umbea yaaninkwenye maisha lazima uwe nao kila mtu ana umuhimu wake.
1. Queen was 92% RIP
2 As..........................95%
2. Jul......................89%
3. Mag.................88%
4. Liz.......................85.%
Special friends ambao hawajulikani kwa hao juu. Ambao kwa sasa nawezankushare nao top secret
1, jen.................99%
2,mon.............99%
Ahaaaaaaaa my best friends wangu wa kiume hawa ni wengi sijui hata niwape % ngap? Watoto wa kiume hawanaga mbambamba, hawanaga baya wakifa hawataoza hata wakioza hawatanuka mafala wale wahanaga baya you know hawa ni friends ambao tunaishi kama bibi/babu na wajukuu zao ( hawa hatu-shei top secret[emoji12]) hata wakinipa zambi zao nabeba manina zao[emoji23]
Hawa tukipigiana simu utasikia:
Wao : We falar uko wapi?
Mimi : nimelala
Wao : we mpuuzi unalala kwa hela zipi ulizokuwa nazo?
Mimi: una jipya?
Wao : we si boss wangu bana mpuuzi wewe nilitaka kujua uko wapi sijakuona muda faler wewe
Mimi: we mpuuzi mbona unajiongelesha unataka kunipa hela?
Wao : kwani hela shida unataka sh. Ngapi?
Mimi: hayo ndo maneno
Wao: we faler skia nina vijipesa vinaniwasha afu wife kajinunisha humo ndani embu nipe no yule mtoto mzuri shoga yako yuleee....... akanipunguzie stress.
Mimi: we falar nini hujui anapoishi?
Wao: faster basiii
Mimi: 07.........
Wao: wewe mpuuzi zambi zako nibebe mimi ukifa shetani anichome mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uolewe kila la heriMimi nimepigwa mno na marafiki ila ninao lakin hatuko wazi sana ila nawapenda nao wananijali sana
mtu ambae Huwa namfanya rafiki ni mpenzwangu kiukweli maana nafikir ni mtu ananielewa Zaid na inshallah nikiolewa mume ndie atakuwa rafikiyangu wa kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimepigwa mno na marafiki ila ninao lakin hatuko wazi sana ila nawapenda nao wananijali sana
mtu ambae Huwa namfanya rafiki ni mpenzwangu kiukweli maana nafikir ni mtu ananielewa Zaid na inshallah nikiolewa mume ndie atakuwa rafikiyangu wa kwanza
Mtu akikushirikisha ishu yake nyeti means amekuamini so usimuangushe na ndivyo nilivyo.Hongereni sana wengine hatujabahatika unakuta rafikyako nae ana rafikiyake shida zinaanzia hapo now tumetuliza makomwe yetu tu😀😀
Hujatulia wewe😂Sijawahi kumuamini mtu yeyote kwakweli even myself sometimes I don't trust 😌
Aunt Yani Inakera unampenda rafiki unaficha aibu zake nyingi tu ila wew hata akikushauri kitu kidogo ujue alishaanza kukutangaza inachosha sikuhiz najifungia zangu ndani naperuz jf nikiwa na ubuyu nitampa bbywangu inatosha 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikua najiandaa nikuite (uani)😂😂😂Ninaye lala nae kitanda ki1 na kumvulia nguo zote na kuwa mtupu km nilivyo zaliwa, huyo ndo rafiki angu, couz anaujua undani wangu.
[emoji625][emoji625]