Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Kumbe we ni mgunduzi.

Em chukua savanna moja ya moto hapo, bill alipe kipara
Ukishapigwa matukio lazima uwe mgunduzi😂

Kipara mweusi?🤣🤣

Kujilinganisha na kutaka kila mtu aonekane bora kuliko mwenzake ni sumu sana kwenye mahusiano yoyote hasa urafiki.
Ila mkipendana kwa dhati na kila mtu akajiachia kwa mwenzake aah mtaenjoy sana urafiki
 
Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ??

😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
Hivi wewe dada kumbe usipovuta bangi unaweza kiandika sentesi imenyooka?😂😂😂
cocastic
 
Back
Top Bottom