Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Nilikua na rafiki wa hivyo daah nilisikitika urafiki wetu kuingia doa sababu I loved her for real Ila sasa siwezi endekeza tabia zinazonikwaza
Bora ujiondoe mm moyo ushakufaga Ganz na marafiki wa hivo Yani najifungia ndani ni mwendo wa tamthilia TU kama sijaenda job nawza siku nzima nisionane na mtu nimekuwa muoga mno
 
Unakuwa hujui dear yaani ni surprise
Nakumbuka nililizwa na rafikiyangu kipenz alinisema wakat nipo mbwa yule via sms na mtu Yan alininanga nilikuwa uchi kabisa bila kosa 😀😀😀nililiasana Ile siku alafu akaja kunibembeleza pole rafikiyng unashida gani niambie ndo maisha Yan nililia km nipo msibani Yan akisema pole naangua kilio🤣🤣🤣🤣
Ndio maana nkasema muamini mtu lakin asijue 100%. Pia kuna Mambo n yako na Mungu wako hayapaswi kuwa shared kwa yeyote.
Mimi Kama unanijua ni kwa kiwango nilichoruhusu mimi si vinginevyo.

Kuna kitu watu wengi huwa hawakijui, mtu anapokuletea Mambo ya siri za mwingine elewa fika hata zako kuna mahala anazifikisha kama zilivyo.
 
Bora ujiondoe mm moyo ushakufaga Ganz na marafiki wa hivo Yani najifungia ndani ni mwendo wa tamthilia TU kama sijaenda job nawza siku nzima nisionane na mtu nimekuwa muoga mno
Yaani marafiki walichonifanya hatari sana
 
Chuo nikishakuwaga na rafiki
Alikuwa rafiki mwenye rafiki zake ambao by that time hawakuwa rafiki zangu.
(Tuliishi 1 Hostel.. chuo level tofauti.

Kuna siku sijui ikawaje wakaanza kunisema 🤣 yule rafiki angu akaanza kuwasuta wenzake kwann wananisema.
Basi baadae nikaja kuwazoea na wale wengine. Ndio kupata huo ubuyu kwamba rafiki alinitetea nisisemwe 😆.
Nikazidi kumpenda ❤️
Na yeye akanipenda
Mpk tukaanza kufanana
Tukaanza itana Twin

Until to date bado tunawasiliana… ingawa tuko miles mia mbili tofauti.
Na ukishika cm yangu ukaenda kwa contacts ukaserch TW… lazima uone Twinie.. toka enzi hizoo mpk leo sijawahi edit jina.

Nina hako ka bahati ka kupata marafiki ninao vibe nao… sijawahi tendwa na rafiki.
 
Bora ujiondoe mm moyo ushakufaga Ganz na marafiki wa hivo Yani najifungia ndani ni mwendo wa tamthilia TU kama sijaenda job nawza siku nzima nisionane na mtu nimekuwa muoga mno
Na inaonekana una kamoyo kepesi, watu wanakuumiza kirahisi

Ila usikate tamaa trust me marafiki wa kweli wapo, na Mungu atakujalia utampata ambaye mtaenjoy urafiki wenu🥰
 
Ndio maana nkasema muamini mtu lakin asijue 100%. Pia kuna Mambo n yako na Mungu wako hayapaswi kuwa shared kwa yeyote.
Mimi Kama unanijua ni kwa kiwango nilichoruhusu mimi si vinginevyo.

Kuna kitu watu wengi huwa hawakijui, mtu anapokuletea Mambo ya siri za mwingine elewa fika hata zako kuna mahala anazifikisha kama zilivyo.
Mamayangu alimuona rafikiyangu mmoja hiv Kwa muda wa wiki akaniita akanambia hivi rafikyako unamuelewa mbonasiri za watu anazisema had kwangu unauhakika zako ziko sawa aliona mbali sikukaa wiki akanipigia tukio 😀😀😀baaada ya tukio matukio yakaniminika nyie
 
Chuo nikishakuwaga na rafiki
Alikuwa rafiki mwenye rafiki zake ambao by that time hawakuwa rafiki zangu.
(Tuliishi 1 Hostel.. chuo level tofauti.

Kuna siku sijui ikawaje wakaanza kunisema [emoji1787] yule rafiki angu akaanza kuwasuta wenzake kwann wananisema.
Basi baadae nikaja kuwazoea na wale wengine. Ndio kupata huo ubuyu kwamba rafiki alinitetea nisisemwe [emoji38].
Nikazidi kumpenda [emoji3590]
Na yeye akanipenda
Mpk tukaanza kufanana
Tukaanza itana Twin

Until to date bado tunawasiliana… ingawa tuko miles mia mbili tofauti.
Na ukishika cm yangu ukaenda kwa contacts ukaserch TW… lazima uone Twinie.. toka enzi hizoo mpk leo sijawahi edit jina.

Nina hako ka bahati ka kupata marafiki ninao vibe nao… sijawahi tendwa na rafiki.
Safi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo nikishakuwaga na rafiki
Alikuwa rafiki mwenye rafiki zake ambao by that time hawakuwa rafiki zangu.
(Tuliishi 1 Hostel.. chuo level tofauti.

Kuna siku sijui ikawaje wakaanza kunisema 🤣 yule rafiki angu akaanza kuwasuta wenzake kwann wananisema.
Basi baadae nikaja kuwazoea na wale wengine. Ndio kupata huo ubuyu kwamba rafiki alinitetea nisisemwe 😆.
Nikazidi kumpenda ❤️
Na yeye akanipenda
Mpk tukaanza kufanana
Tukaanza itana Twin

Until to date bado tunawasiliana… ingawa tuko miles mia mbili tofauti.
Na ukishika cm yangu ukaenda kwa contacts ukaserch TW… lazima uone Twinie.. toka enzi hizoo mpk leo sijawahi edit jina.

Nina hako ka bahati ka kupata marafiki ninao vibe nao… sijawahi tendwa na rafiki.
Mm pia nilikuwa nae mmoja tangu form one had form tukamaliza hakufanya vizuri akaolewa mm nikaendelea na shule nikapata marafiki wapya vichomi balaa yan ningekuwa msutaji nafikir ningekuwa na vikao kilawiki nao nimeamua nijiepushe na maumivu madogomadogo 😀😀
 
Back
Top Bottom