Chuo nikishakuwaga na rafiki
Alikuwa rafiki mwenye rafiki zake ambao by that time hawakuwa rafiki zangu.
(Tuliishi 1 Hostel.. chuo level tofauti.
Kuna siku sijui ikawaje wakaanza kunisema 🤣 yule rafiki angu akaanza kuwasuta wenzake kwann wananisema.
Basi baadae nikaja kuwazoea na wale wengine. Ndio kupata huo ubuyu kwamba rafiki alinitetea nisisemwe 😆.
Nikazidi kumpenda ❤️
Na yeye akanipenda
Mpk tukaanza kufanana
Tukaanza itana Twin
Until to date bado tunawasiliana… ingawa tuko miles mia mbili tofauti.
Na ukishika cm yangu ukaenda kwa contacts ukaserch TW… lazima uone Twinie.. toka enzi hizoo mpk leo sijawahi edit jina.
Nina hako ka bahati ka kupata marafiki ninao vibe nao… sijawahi tendwa na rafiki.