Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Kwani unafikir husband material ni nyie wa Jf mpambane tu nahalizenu ndoayngu inatoka huku mtaani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wee bwana wa mtaani ndio sie wakina mzabzab wa jf. Wanaume ni wale wale tunapenda mbususu na tunachepuka sasa wee shupaza shingo siku zinaenda
 
Sijataka TU mwaka nikihitaji Hata Leo naipata na pia Niko karibu na Watu ambao ndoazao zimenyooka lakini najua Nini nataka siwezi harakia hayo wanasema huwez kunywa sumu Et kwasababu unakiu kilakitu na wakatiwake hivi mkeo angekuwa Hana sifa unazotak angekuwa mkeo Leo hii??
Binafsi nilikutana na mke wangu yeye akiwa na age 20, mimi 28; sasa mtoto wa kwanza yuko sekondari, na sijawahi kujutia, tukiwa pamoja unaweza hisi labda tuna wiki moja kwenye ndoa.
Muhimu upate mtu sahihi tu.
 
Wee bwana wa mtaani ndio sie wakina mzabzab wa jf. Wanaume ni wale wale tunapenda mbususu na tunachepuka sasa wee shupaza shingo siku zinaenda
Nyie wa humunmna maneno machafu mtasema mmekunywa maji ya chooni ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nikiwaza kuchepuka tu nguvu zinaniisha Yani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Binafsi nilikutana na mke wangu yeye akiwa na age 20, mimi 28; sasa mtoto wa kwanza yuko sekondari, na sijawahi kujutia, tukiwa pamoja unaweza hisi labda tuna wiki moja kwenye ndoa.
Muhimu upate mtu sahihi tu.
Lakini uliona ni mtu sahihi kwako ndio maana mkafikia maamuz ya kuoana na mmedumu Sasa nikutane na mlevi huko et niolewe tu Bora nife single tu aisee
 
Back
Top Bottom