Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Hongera nami natamni iwe hivo kwakweli japo now mamaangu kidogo sabbu siwez mshirikisha kilakitu lakin at least najua hawez kuwa na unafki Kwenye mafanikioyngu
Ule Mchepuko wako sio rafikyako😂
😀😀😀 wale ni wasaka fursa tu; huwa kabla ya kuchepuka lazima nihakikishe wife + kids, wamekula na kusaza. Kwa sababu watakuwa nami kwenye shida na raha.
 
Jitahidi pia kuweka mazingira ya kuwa wife material ili uweze kupata mtu sahihi; kuwa mke na mme na mkawa mnasikilizana kuna raha yake pia;usiwasikilize sana reject (walioachika).
 
😀😀Dah mm mke haswa na napenda kuolewa na ndoayangu itakuwa Eden ndogo 😀 sema Bado Bado tu mwakani inshallah naona nitakuwa tayar Kwa Hilo muache kunisakama na mzabzab
 
😀😀😀 wale ni wasaka fursa tu; huwa kabla ya kuchepuka lazima nihakikishe wife + kids, wamekula na kusaza. Kwa sababu watakuwa nami kwenye shida na raha.
Wacha wee Leo wew ndo wa kusema hayo
Wakat ulisema Mchepuko wako ni mkewa pili 😀😀
 
😀😀Dah mm mke haswa na napenda kuolewa na ndoayangu itakuwa Eden ndogo 😀 sema Bado Bado tu mwakani inshallah naona nitakuwa tayar Kwa Hilo muache kunisakama na mzabzab
Uwe unapiga mapigo ya kuonekana mke; ukipata nafasi uje physically tuonane nikupe somo
 
Hawajui kushinda njaa wale, wanajua kila siku utawaletea piza; kwa hiyo unakuwa nao kimkakati zaidi (nimekumegea tu siri wasisikie)
 
Uwe unapiga mapigo ya kuonekana mke; ukipata nafasi uje physically tuonane nikupe somo
Sijataka TU mwaka nikihitaji Hata Leo naipata na pia Niko karibu na Watu ambao ndoazao zimenyooka lakini najua Nini nataka siwezi harakia hayo wanasema huwez kunywa sumu Et kwasababu unakiu kilakitu na wakatiwake hivi mkeo angekuwa Hana sifa unazotak angekuwa mkeo Leo hii??
 
😀😀Dah mm mke haswa na napenda kuolewa na ndoayangu itakuwa Eden ndogo 😀 sema Bado Bado tu mwakani inshallah naona nitakuwa tayar Kwa Hilo muache kunisakama na mzabzab
Wewe ukiolewa mwakani mie naacha kula mbususu za warembo
 
Back
Top Bottom