Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Lemme seee mmmmmh noooooo!! only my mom, she is my best friend, she is my secret keeper, in short she is my everything!

Hawa mashoga zangu wa umbea yaaninkwenye maisha lazima uwe nao kila mtu ana umuhimu wake.

1. Queen was 92% RIP
2 As..........................95%
2. Jul......................89%
3. Mag.................88%
4. Liz.......................85.%

Special friends ambao hawajulikani kwa hao juu. Ambao kwa sasa nawezankushare nao top secret
1, jen.................99%
2,mon.............99%

Ahaaaaaaaa my best friends wangu wa kiume hawa ni wengi sijui hata niwape % ngap? Watoto wa kiume hawanaga mbambamba, hawanaga baya wakifa hawataoza hata wakioza hawatanuka mafala wale wahanaga baya you know hawa ni friends ambao tunaishi kama bibi/babu na wajukuu zao ( hawa hatu-shei top secret😜) hata wakinipa zambi zao nabeba manina zao😂

Hawa tukipigiana simu utasikia:

Wao : We falar uko wapi?
Mimi : nimelala
Wao : we mpuuzi unalala kwa hela zipi ulizokuwa nazo?
Mimi: una jipya?
Wao : we si boss wangu bana mpuuzi wewe nilitaka kujua uko wapi sijakuona muda faler wewe
Mimi: we mpuuzi mbona unajiongelesha unataka kunipa hela?
Wao : kwani hela shida unataka sh. Ngapi?
Mimi: hayo ndo maneno
Wao: we faler skia nina vijipesa vinaniwasha afu wife kajinunisha humo ndani embu nipe no yule mtoto mzuri shoga yako yuleee....... akanipunguzie stress.
Mimi: we falar nini hujui anapoishi?
Wao: faster basiii
Mimi: 07.........
Wao: wewe mpuuzi zambi zako nibebe mimi ukifa shetani anichome mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah mnawezaje?Sinaga rafiki wa kiume,siwawezi ni wambea Sana.,na hawako royal ukiwa nae unatakiwa kuwa makini anaweza akaloweka siku ukilewa......aku nikitaka kuenjoy mtoko simu moja Kwa shosti yangu wa kike nakunywa Kwa Raha zangu.
 
Pole mwaya, ila nilichogundua kwenye urafiki mkiwa wote real bila unafiki mambo yanaenda.

Kikubwa tu vibe zenu ziendane, ila ukiona mtu anazingua haifai kabisa kuforce urafiki.
Kweli,nina rafiki tulikutana tukiwa na 17 nadhani mpaka Leo tumekuwa mashangazi,yaani tumefanyia familia zetu zihafamiane,tumekuwa Kama ndugu....Kila mmoja anajua strength na weakness za mwenzie,tunazinguana,tunasolve,tunalia pamoja,tunacheka pamoja yaani huwa nashangaa wanaosema hakuna rafiki wa kumuamini....ukimchukulia mwenzio Kama malaika kweli huwezi pata rafiki
 
Ukishapigwa matukio lazima uwe mgunduzi😂

Kipara mweusi?🤣🤣

Kujilinganisha na kutaka kila mtu aonekane bora kuliko mwenzake ni sumu sana kwenye mahusiano yoyote hasa urafiki.
Ila mkipendana kwa dhati na kila mtu akajiachia kwa mwenzake aah mtaenjoy sana urafiki
Well said.....rafiki yangu anabebaga misala yangu Ila yupo tu na Mimi🤣🤣🤣
 
Ngoja hao watoto wako unaowaamini wakutoe ndagu ndio utajua Dunia imevaa sunglasses [emoji41][emoji41][emoji41]
Kama wanangu wa Damu wataamua hivyo sawa tu but Kwa misingi niliyowatengenezea kama baba ninayependa maisha Yao yote waishi Kwa amani sizani kama wanaweza kufanya hivyo ..but shetani yupo kazini mybe akawapitia mkuu .
 
Well said.....rafiki yangu anabebaga misala yangu Ila yupo tu na Mimi🤣🤣🤣
Marafiki wa kweli huvumiliana na kuchukuliana madhaifu
Mmoja akizingua mnachambana😂😂 badae mnacheka urafiki unadumu
 
Marafiki wa kweli huvumiliana na kuchukuliana madhaifu
Mmoja akizingua mnachambana😂😂 badae mnacheka urafiki unadumu
Kabisaa....kukiwa na upendo wa kweli Kila kitu kinavumilika
 
Kama wanangu wa Damu wataamua hivyo sawa tu but Kwa misingi niliyowatengenezea kama baba ninayependa maisha Yao yote waishi Kwa amani sizani kama wanaweza kufanya hivyo ..but shetani yupo kazini mybe akawapitia mkuu .
Ishike Sana paragraph ya mwisho.
 
Kweli,nina rafiki tulikutana tukiwa na 17 nadhani mpaka Leo tumekuwa mashangazi,yaani tumefanyia familia zetu zihafamiane,tumekuwa Kama ndugu....Kila mmoja anajua strength na weakness za mwenzie,tunazinguana,tunasolve,tunalia pamoja,tunacheka pamoja yaani huwa nashangaa wanaosema hakuna rafiki wa kumuamini....ukimchukulia mwenzio Kama malaika kweli huwezi pata rafiki
Urafiki wa hivyo kuvunjika sio rahisi.
Pia nina rafiki wa hivyo, tulikutana shule form 1 tukapendana hadi leo tumekua mashangazi urafiki wetu bado uko perfect.

Marafiki wa kweli wapo🥰
 
Back
Top Bottom