Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

Chuo nikishakuwaga na rafiki
Alikuwa rafiki mwenye rafiki zake ambao by that time hawakuwa rafiki zangu.
(Tuliishi 1 Hostel.. chuo level tofauti.

Kuna siku sijui ikawaje wakaanza kunisema 🤣 yule rafiki angu akaanza kuwasuta wenzake kwann wananisema.
Basi baadae nikaja kuwazoea na wale wengine. Ndio kupata huo ubuyu kwamba rafiki alinitetea nisisemwe 😆.
Nikazidi kumpenda ❤️
Na yeye akanipenda
Mpk tukaanza kufanana
Tukaanza itana Twin

Until to date bado tunawasiliana… ingawa tuko miles mia mbili tofauti.
Na ukishika cm yangu ukaenda kwa contacts ukaserch TW… lazima uone Twinie.. toka enzi hizoo mpk leo sijawahi edit jina.

Nina hako ka bahati ka kupata marafiki ninao vibe nao… sijawahi tendwa na rafiki.
A friend to keep forever
Mamayangu alimuona rafikiyangu mmoja hiv Kwa muda wa wiki akaniita akanambia hivi rafikyako unamuelewa mbonasiri za watu anazisema had kwangu unauhakika zako ziko sawa aliona mbali sikukaa wiki akanipigia tukio 😀😀😀baaada ya tukio matukio yakaniminika nyie
😂 Imebidi nicheke, mama aliona huu Moto sio wakawaida. Wapo watu wahivyo na niwachonganishi mno. Mimi mshkaji akileta habari za hivo namcheki tu simpi ushirikiano. Nna jamaa yangu mmoja hata nikiwa na shida siwezi muomba msaada kwa aliyowahi niambia kuhusu baadhi ya watu waliomueleza shida zao.
 
Hao ndo watu wabaya zaidi kwakweli
 
Chuo nikishakuwaga na rafiki
Alikuwa rafiki mwenye rafiki zake ambao by that time hawakuwa rafiki zangu.
(Tuliishi 1 Hostel.. chuo level tofauti.

Kuna siku sijui ikawaje wakaanza kunisema [emoji1787] yule rafiki angu akaanza kuwasuta wenzake kwann wananisema.
Basi baadae nikaja kuwazoea na wale wengine. Ndio kupata huo ubuyu kwamba rafiki alinitetea nisisemwe [emoji38].
Nikazidi kumpenda [emoji3590]
Na yeye akanipenda
Mpk tukaanza kufanana
Tukaanza itana Twin

Until to date bado tunawasiliana… ingawa tuko miles mia mbili tofauti.
Na ukishika cm yangu ukaenda kwa contacts ukaserch TW… lazima uone Twinie.. toka enzi hizoo mpk leo sijawahi edit jina.

Nina hako ka bahati ka kupata marafiki ninao vibe nao… sijawahi tendwa na rafiki.

Mimi unaniweka wapii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm pia nilikuwa nae mmoja tangu form one had form tukamaliza hakufanya vizuri akaolewa mm nikaendelea na shule nikapata marafiki wapya vichomi balaa yan ningekuwa msutaji nafikir ningekuwa na vikao kilawiki nao nimeamua nijiepushe na maumivu madogomadogo 😀😀
😂😅 pole sana
Kaa kwa pattern, hata hao masnitch utawamudu tu.
 
Ninaye lala nae kitanda ki1 na kumvulia nguo zote na kuwa mtupu km nilivyo zaliwa, huyo ndo rafiki angu, couz anaujua undani wangu.

[emoji625][emoji625]
Waswahili mwapenda ngono sana, kwani hamna mifano mingine.?
 
Back
Top Bottom