Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la ndoa linahitaji uvumilivu.Hii kitu usiombe!
Tumeumbwa na wivu wa asili, japo sio uchawi ila inapotokea unaanza kuombea mabaya wenzako.
Huu unabaki kuwa ukweli mchungu unaotibu kwa kuchoma roho yako.
Nyieee..!![emoji1614][emoji36]
Suala la ndoa linahitaji uvumilivu.
Watoto/Mtoto ni neema kutoka kwa Muumba, huwa anajalia hiyo neema kwa mapenzi yake na kwa sababu maalum.
Vitabu vya Imani(Dini) vinasema kila kiumbe kina riziki yake, kiumbe hakiwezi kuletwa kwenye mgongo wa ardhi kama riziki yake ingali haijakamilika.
Tuwe na Subira.
Kuna jamaa mmoja kwetu, alioa miaka ya 90, hadi kufika mwaka 2008 alikuwa bado hajapata mtoto na hakufanya uamuzi wa kumuacha mke wake bali aliamua kuoa mke wa pili(alikuwa single mother).
Baada ya hapo wake zake wote walishika mimba kwa wakati mmoja, hadi hapo jamaa akaanza kupata watoto double double. Alivumilia hadi Muumba kasikia maombi yake
Hapana, tiba ni uvumilivu. Huku ukiendelea kumuomba Mungu akujalie mtoto.Je, kuchepuka ni tiba?
Kwa maana hata Abraham alipochepuka ndipo tumbo la mkewe likafunguka![emoji2377]
Kuna kaka aliachana na mkewe dec 2020 baada ya kukaa miaka mitatu ndani ya ndoa bila mkewe kupata ujauzito leo hii mwanamke kitumbo kikubwa,,,na mkewe alikua akishauri waende hosptal mwanaume anagoma.Mungu awasaidie wote wenye shida juu ya uzazi mana huyu kaka hata raha hana.Hii kitu usiombe!
Tumeumbwa na wivu wa asili, japo sio uchawi ila inapotokea unaanza kuombea mabaya wenzako.
Huu unabaki kuwa ukweli mchungu unaotibu kwa kuchoma roho yako.
Nyieee..!![emoji1614][emoji36]
Madaktari hawatakubaliana na ukweli huuPole.
Mnapenda kuhukumu na kusahau kua anaetoa mtoto ni Mungu pekee.
Ndiyo,yaan wamekuwa wengi sanaWasiopata watoto?
Yeah! Wakati ukifika MTU ufanikiwa tu.Lakini now inachangiwa sana na madawa ya uzazi wa mpango au utoaji mimba hovyohovyo.Maswala ya hormone problems ni sababu iliyopo kwa wachache sana.Ila MTU hawez kukuambia ukweli.Kuzaa ni majaaliwa.
Dada zetu/wake zetu wanabugia Sana vidonge vya uzazi wa mpango bila kujua madhara ya baadaye.Yeah! Wakati ukifika MTU ufanikiwa tu.Lakini now inachangiwa sana na madawa ya uzazi wa mpango au utoaji mimba hovyohovyo.Maswala ya hormone problems ni sababu iliyopo kwa wachache sana.Ila MTU hawez kukuambia ukweli.
Atumie MTU ambaye hana mpango na watotoDada zetu/wake zetu wanabugia Sana vidonge vya uzazi wa mpango bila kujua madhara ya baadaye.
P2 zina madhara yake ya baadaye japo zinaachia watu wale nyama kwa nyama