Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mtu anapata shida lazima utasema alibugia vidonge sana lakini ukiwa nalo ndiyo utajua ni mipango ya shetani.Dada zetu/wake zetu wanabugia Sana vidonge vya uzazi wa mpango bila kujua madhara ya baadaye.
P2 zina madhara yake ya baadaye japo zinaachia watu wale nyama kwa nyama
Wapo wengi sana,huwez watambua coz hawapo kwenye nafas zaoWatu gani wasio na mpango na watoto?