Unamwamini Mwigulu kwamba eti magari ya Serikali 979 yalichomwa wakati wa maandamano?

Sitakuumiza Kamwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2025
Posts
466
Reaction score
1,457
When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi?

Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini tu hivi hivi? Ni kweli magari ya wananchi (na siyo ya mama!) 979 yaliharibibiwa kabisa (total loss)? Come on man!

20251125_155945.png
 
When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi?

Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini tu hivi hivi? Ni kweli magari ya wananchi (na siyo ya mama!) 979 yaliharibibiwa kabisa (total loss)? Come on man!

View attachment 3507357
Yalichomwa mangapi?
 
yaani hapo watanzania ni wepesi wa kujaa kwenye spinning za hawa washamba
Sasa hivi huyu Mnyiramba ametumwa kila siku aje na topic mpya zisizo na kichwa wala mguu ili awatoe watu kwenye reli.

Propaganda machine ipo kazini.
 
When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi?

Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini tu hivi hivi? Ni kweli magari ya wananchi (na siyo ya mama!) 979 yaliharibibiwa kabisa (total loss)? Come on man!

View attachment 3507357
Dah hii serikali nimenawa mikono hawa ni sikio la kufa..
Mbona namb imeongezwa hivyo.
 
When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi?

Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini tu hivi hivi? Ni kweli magari ya wananchi (na siyo ya mama!) 979 yaliharibibiwa kabisa (total loss)? Come on man!

View attachment 3507357
Wana takwimu za uharibifu wa vitu lakini hawana takwimu za loss of lives! WTF?
 
When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi?

Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini tu hivi hivi? Ni kweli magari ya wananchi (na siyo ya mama!) 979 yaliharibibiwa kabisa (total loss)? Come on man!

View attachment 3507357
Katika wilaya 184 zilizopo Tanzania so ni wastani wa wilaya 25 tu zilizosalimika kuchomewa moto vituo vya polisi ambavyo ni takribani mikoa 4 tu kati 31, jenzii wapuuzi kabisa mngeechwa siku tatu tu mbele hii nchi mngeigeuza majivu!!
 
China walitengeneza sanamu za wasaliti ambao ni mtu na mkewe walioshiriki kumchongea shujaa na mtetezi wa nchi general Yue Fei zaidi ya miaka 800 iliyopita.

Rekodi zinaishi ninaomba watanganyika huyu ajuza muuaji wa watanganyika zaidi ya 10000 nae atengenezewe sanamu lake na vidampa wake kama akina Wambura na wengineo , ili ibaki rekodi watangayika kwa siku za usoni wawajue wauaji na wasaliti wa kuuza rasilimali za Tanganyika na kila mtu akiwa anapita anawatandika hapo kofi ili isije kujirudia.
 
Back
Top Bottom