Unamwamini Mwigulu kwamba eti magari ya Serikali 979 yalichomwa wakati wa maandamano?

Uharibifu siyo lazima lichomwe moto,itakuwa hata yaliyovunjwa vioo tu yamehesabika japo bado namba haina uhalisia.

Nawaza hivyo vituo vya polisi 159 kama waandamanaji wangeamua kujibebea silaha humo si ingekuwa "full metal jacket"!
 
Mwambieni mwingulu asifokefoke.. asitufokee
 
Wameona vitu vinathamani sana kuliko uhai wa mtu si ndio watuambie na idadi ya watu walikufa wakawazika kaburi la pamoja wangapi na ambao miili ilipatikana wangapi waache kupika tarifa za uongo uongo
 
When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi?

Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini tu hivi hivi? Ni kweli magari ya wananchi (na siyo ya mama!) 979 yaliharibibiwa kabisa (total loss)? Come on man!

View attachment 3507357
Chai,
Itakuwa Wahuni wanatafuta kugawana mali za umma.
Ila kama uharibifu ungekuwa hata robo ya hayo aliyosema, maana yake ni kuwa hawatakiwi na umma
 
Magari hata yangekua Elfu kumi hayawezi kulingana na uhai wa watu magari yanatengezwa Japan watu wanatengenezwa wapi?
 
When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi?

Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini tu hivi hivi? Ni kweli magari ya wananchi (na siyo ya mama!) 979 yaliharibibiwa kabisa (total loss)? Come on man!

View attachment 3507357
Kama wameweza kupika idadi kubwa vile ya uongo ya wapiga kura bila aibu, utawezaje kuamini taarifa zao?
 
Hapo wahuni wamegawana ma v8 yao! Safi wanakula tu viyoyozi. How come anajua idadi ya magari lakini hajui idadi ya waliokufa!!
 
Back
Top Bottom