Iamjac16
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 214
- 53
Watu Wengi Wamekuwa Wakimsifia Msanii Diamond Kuwa Ni Msanii Anayeongoza Kwa Mafanikio Hapa Tz Hili Linanifanya Nijiulize Maswali Bila Majibu Hivi Tunapo Zungumzia Mafanikio Ya Msanii Tunatumia Vigezo Gani Sikatai Diamond Ana Mafanikio Ila Unamjua AMBWENE YESSAYA (AY)ebu angalia mafanikio ya mshikaji alafu jiulize msanii gani kibongobongo anayemfikia.HII KAULI YA KUWA DIAMOND ANAWAFUNIKA WASANII WOTE HAPA TZ SIIPENDI ILA BASI TU.diamond ni msanii mzuri ila msilinganishe mafanikio yake na ya AY