Ay anamiliki kipindi cha MKASI vile vile anawamanage wasanii wenzie wa hapa bongo,anaongoza afrika mashariki kwa kupiga sana show za nje akiwa na wasanii wa kimataifa,ana miliki maduka ya nguo matatu na maduka mawili ya spea za magari kaliakoo, ana nyumba 5 za kupangisha zikiwemo na guest ,ana husika kwenye club ya maisha,ana mashamba vile vile ana lima,ana miliki kituo cha watoto yatima msasani ,ameshafanya nyimbo na P.square,miss trinity,lily romeo,yamia,goldie wa big brother africa na sasa ana wimbo kafanya na sean kingstone inatoka january hii tarehe hajataja ni lini na amepata tuzo ya msanii bora wa africa mashariki 2011-2013 ,ana video za gharama kubwa mpaka sasa afrika mashariki hakuna anayemfikia.ameacha kufanya mziki wa kibongo bongo ameamua kufanya international zaidi.ana website yake na ndo msanii wa kwanza Tz kuwa tovuti,nyimbo zake zinapgwa sana MTV,BET,CMUSIC,B4U MUSIC,CHANNEL O NK,vile vile anafanya matangazo nakampuni mbali mbali za ulaya pamoja na supersport,anajipigia promo mwenyewe hayo ni machache nendeni kwenye website yake www. Ay.co.tz