Unamzungumzia Diamond, humjui AY?

Iamjac16

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
214
Reaction score
53
Watu Wengi Wamekuwa Wakimsifia Msanii Diamond Kuwa Ni Msanii Anayeongoza Kwa Mafanikio Hapa Tz Hili Linanifanya Nijiulize Maswali Bila Majibu Hivi Tunapo Zungumzia Mafanikio Ya Msanii Tunatumia Vigezo Gani Sikatai Diamond Ana Mafanikio Ila Unamjua AMBWENE YESSAYA (AY)ebu angalia mafanikio ya mshikaji alafu jiulize msanii gani kibongobongo anayemfikia.HII KAULI YA KUWA DIAMOND ANAWAFUNIKA WASANII WOTE HAPA TZ SIIPENDI ILA BASI TU.diamond ni msanii mzuri ila msilinganishe mafanikio yake na ya AY
 
ungetuwekea mafanikio ya diamond na mafanikio ya Ay ili tuchambue
 
Diamond ana mafanikio gani? Nchii hii bana ina watu wana akili nyepesi kweli
 
Mnaongelea mafanikio ya kimuziki ama kibiashara na utajiri ama nini haswa?
 
Mtihani mkubwa tulio nao watanzania ni kutokujua tofauti kati ya kufanikiwa na Kuwa maarufu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nimeamua Kuandika Thread Hii Kutokana Na Magazeti Mengi Ya Udaku Kumsifia Diamond Kuwa Ndio Msanii Mwenye Mafanikio Hapa Tz Mfano Ktk Gazeti La Kiu La Tarehe 31dec 2012 Wanamwita Diamond Kuwa Ndo Msanii Expensive Hivi Diamond Ana Ue-xpensive Gani Kuliko AY
 
Duh me huwa naangalia tu harafu napita zangu!

AY hata siku moja huwezi kumpanga na Diamond,jamaa yuko mbali kimaisha na kimziki!diamond labda kuwamega madem hata Kiba mwenyewe yuko juu!
 
AY na Diamond?? AY yupo juu, jamaa international kabisa, ana perform na wasanii waukweli. Diamond afananishwe na watoto wenzake kina bob junior
 
Ay anamiliki kipindi cha MKASI vile vile anawamanage wasanii wenzie wa hapa bongo,anaongoza afrika mashariki kwa kupiga sana show za nje akiwa na wasanii wa kimataifa,ana miliki maduka ya nguo matatu na maduka mawili ya spea za magari kaliakoo, ana nyumba 5 za kupangisha zikiwemo na guest ,ana husika kwenye club ya maisha,ana mashamba vile vile ana lima,ana miliki kituo cha watoto yatima msasani ,ameshafanya nyimbo na P.square,miss trinity,lily romeo,yamia,goldie wa big brother africa na sasa ana wimbo kafanya na sean kingstone inatoka january hii tarehe hajataja ni lini na amepata tuzo ya msanii bora wa africa mashariki 2011-2013 ,ana video za gharama kubwa mpaka sasa afrika mashariki hakuna anayemfikia.ameacha kufanya mziki wa kibongo bongo ameamua kufanya international zaidi.ana website yake na ndo msanii wa kwanza Tz kuwa tovuti,nyimbo zake zinapgwa sana MTV,BET,CMUSIC,B4U MUSIC,CHANNEL O NK,vile vile anafanya matangazo nakampuni mbali mbali za ulaya pamoja na supersport,anajipigia promo mwenyewe hayo ni machache nendeni kwenye website yake www. Ay.co.tz
 
AY na Diamond?? AY yupo juu, jamaa international kabisa, ana perform na wasanii waukweli. Diamond afananishwe na watoto wenzake kina bob junior

kuna wasanii wanapesa hawajitangazi magazetini
 

nakubaliana na ww 100% ila apo kuwa anaongoza kwa video ya gharama eafrica noo may be wa 2!! video ya gharama zaid eafrica ni navio 'one and only' aliyofanyia southafrica.
 

pumbavuu hujui mafankio yao afu unaongea 2
 
Hii thread AY mwenyewe akiiona ataona aibu!!AY kabaki mikwara tu kujifanya anadeal na nje ya bongo ila hana jipya la kufananisha na domo kimafanikio ya mziki!AY anatumia beseni kimziki anagain kisoda!shooting anafanya ya milioni tano hapati show...kipindi hiki domo tunwacheni tu hakamatiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…