Unamzungumzia Diamond, humjui AY?

Diamond ana mafanikio gani? Nchii hii bana ina watu wana akili nyepesi kweli

kwn mafanikio ni nn?? C ndio maendeo jaman na maendeleo c ni kuvuka hatua moja mbele yan lower stage to the higher stage of living standard....
Broza diamond wa leo co wa mwaka 2008 wala 2009... DoMo kaendelea wazee
 
Hiv jaman magazeti tena ya udaku ?kiu,ijumaa,uwazi,na sani.hayo ni magazeti wanafunzi wa sekondari na kinadada, ndugu badilika
 
AY kashatengeneza meno yake?

Kuuza sura na njino zimepinda haihusiki.
 

AY msanii wa kwanza bongo kuwa na tovuti?

Gangwe Mobb walikuwa na tovuti back in 2000.

Acheni kujisemea ovyo.
 
Diamond muziki wake ni mzuri kuloko AY. Only that AY ni mjadiriamali kwenye fani nyingine nje ya muziki kama maduka nk.
 
AY msanii wa kwanza bongo kuwa na tovuti?

Gangwe Mobb walikuwa na tovuti back in 2000.

Acheni kujisemea ovyo.

Vuguvugu Entertainment na Gangwe gear zao Dah sijui walitelezaga wapi hawa jamaa
 
AY msanii wa kwanza bongo kuwa na tovuti?

Gangwe Mobb walikuwa na tovuti back in 2000.

Acheni kujisemea ovyo.
Umeambiwa msanii wa kwanza kuwa na tovuti we unataja kundi mbona hatuelewi?!!!!!
 

sawa...ila tukubali kwamba siku hizi anaimba ----- tu...
 
Umeambiwa msanii wa kwanza kuwa na tovuti we unataja kundi mbona hatuelewi?!!!!!

Kwani kundi halina msanii?

Halafu hata katika wasanii solo AY si wa kwanza kuwa na website, Professor Jay alikuwa na website a while back when AY was an upcoming rapper.
 
Vuguvugu Entertainment na Gangwe gear zao Dah sijui walitelezaga wapi hawa jamaa

kuna kichwa kinaitwa Seba ndio kilikuwa kinasimamia izo idea,baada ya kuwakacha ndio ikawa sio mzuka..
 
AY msanii wa kwanza bongo kuwa na tovuti?

Gangwe Mobb walikuwa na tovuti back in 2000.

Acheni kujisemea ovyo.
Ww Gangwemobb.com hii ndo website inspector haroun alikuwa anaisemea je wewe na wewe unaisemea hiihii?mpaka leo sijui alitaka kusema nini!kutupa email address yao au website au ndo mixer ya email na website kitemeketemeke
 
Last edited by a moderator:
AY hawezi linganishwa na Dimond, AY anafanya music kama hobby sizani kama anafanya kama biashara kama sio hobby basi anapenda aonekane yeye ni wa level nyingine bila watu kumuona yeye ni wa level hizo.

Mimi si mpenzi wa Diamond ila kijana anapeperusha bendera ya Tz kisawasawa ,Nenda Zamba,Congo -Goma na Bukavu,Rwanda ,Malawi, Kenya,Uganda Sudan ya kusini,Nigeria utaamini kwani nyimbo zake zinapigwa achilia mbali ashapata mialiko kwa baazi ya hizo nchi kwenda kufanya show. AY ana jina kubwa ila kimusic hana mafanikio. AY ana mafanikio kwa biashara nyingine sio Music. Kina Chamilion wana mafankio kutokana na show nyingi kwa mwaka, sasa linganisha show anazofanya AY na Diamond kwa mwaka. Kushirikiana na wasanii wa nje ni mafanikio endapo lengo limetimia ila kwa AY hakuna kiitu coz nyimbo zenyewe zinapigiwa promo bongo tu baaada ya miezi miwili inabaki hadithi.

Haya magazeti ya udaku mnayoyadharau ndio promo yenyewe ,biashara ni matangazo,pia lazima utangaze kwenye media inayowafikia wengi kwa urahisi na gharama nafuu. Mlitaka ajitangaze kwenye Rai ,Tanzania Daima ama Mwananchi?
 
Diamond Anambinu Za Kujitafutia Umaarufu Pale Unapoanza Kupunga Kama Vile Kuvua Nguo Na Kuingia Na Njiwa Jukwaani.januari Anapiga Show Kwa Helcopta Decemba Kwa Basi

mbinu kama hiz ndiyo zinafanywa hata na wasanii wakubwa wa nje
na hii ndiyo tofaut yake na wasanii wengine
 

nashangaa
 
sawa...ila tukubali kwamba siku hizi anaimba ----- tu...

tujuavyo matangazo aliyopiga ni voda na airtel(hata diamond kafanya)
hebu tutajie hayo matangazo ya ulaya na super sport
aliyofanya..............uongo mwingine haufai
 

heheheeeeeeeeeeeeeeee. angejiita """"""""mzee wa commercial???????????????"""""""
 

Asante mkuu, umezungumza fact.
1.AY anatumia gharama kujipa promo kwa kufanya collabo na wasanii wakubwa ila ukweli ni kwamba hakubaliki kama wabogo tunavyodhani.
2.Tuzo aliyopata juzi juzi ni kutokana na kuwashirikisha Wakenya(sauti soul).
3.Ukiangalia nyimbo anazofanya peke yake hazifanyi poa.
4.Hapati show za mara kwa mara kutokana na aina ya mziki wake(Ndani na nje y Tz).
Conclusion:
Mafanikio yake hayatokani na mziki anaofanya ni kwa deal nyingine. Diamond ana mafakinio kimuziki ukilinganisha na alikotoka.
 
Wote wana mafanikio kulingana na walipotokea kiukwel wametoka mbal xana xo 2wapen kampan coz wote n we2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…