pole sana na hongera
ila hafai huyu kaka
kamtendea dada angu vbaya sana....!!!
Kamtenda dada yako yupi??
Kama ni yule TA wa Saut mwanza bora usiseme kabisa... nimesona nao hawa saut mwanza,japo nilikua nyuma miaka miwili....!!!
Acha tuishie hapa....!!
nooo nooo noo not that one
huyo wa dsm hapa tena
yani kamfanyia vbaya vibaya
Usimuteteee sana dada yako.. kwan huwezi jua nani mzinguaji...! Kumbuka wasukuma hawapendi fujo na mbwembwe za mapenzi ya Instagram,Twitter na whatsapp...
Mama mkwe shikamoo.....
pole sana na hongera
ila hafai huyu kaka
kamtendea dada angu vbaya sana....!!!
jaman huu unga unaharibu dada zetu najua hupendi kujiuza ila ni maisha tu zen umekosa hela and no wateja kwa pande hyo na alosto linazidi ila imeipenda stayle yako
Ha ha haaa 4ur information its true nimeolewa tena wit a very reputable person..kumbe ukichepuka mara moja unakua malaya wa meeda?
nooo nooo noo not that one
huyo wa dsm hapa tena
yani kamfanyia vbaya vibaya
Marhaba mkwe.....na wewe usipende kupitapita vijiwe ya mama yako alaaa
Samahani mama nimeote njia nilikuwa naenda vijiwe vya baba mkwe (aliniita anitmbulishe mama mdogo)
we na baba mmeanza ukorofiee....
Samahani mama nimeote njia nilikuwa naenda vijiwe vya baba mkwe (aliniita anitmbulishe mama mdogo)
Umeshatambulishwa sasa?