Unanimaliza Buhohela

yaani kama huyo gentleman ana mke na mkewe ni jf member sijui anajisikiaje huko
 
Nenda kamwambie ahaaa
jinsi unavyompenda we ahaaa.....
 
Drama queen wewe juzi siumesema uko na x wako sababu hubby kidogo mambo co mazuri na unamkubali x wako sababu anayaweza na uliomba uashauri ufanyaje? Sasa leo umekuja na lingine duh kweli umenichosha sasa nikusaidieje sasa @Drama ueen
 
Ww hujawahi kumtaman au kumpenda mwanamke mwingine tofaut na uliyenaye na wit time ikaisha?ni kuvutiwa tu na mtu n nothing serious
 
Drama queen wewe juzi siumesema uko na x wako sababu hubby kidogo mambo co mazuri na unamkubali x wako sababu anayaweza na uliomba uashauri ufanyaje? Sasa leo umekuja na lingine duh kweli umenichosha sasa nikusaidieje sasa @Drama ueen
hii thread yake ya mwaka jana, huyu dem sio kabisa kazi kusifia waume za watu
 
Kweli wanaume tumeumbwa mateso, kuoa nako ni moja ya mateso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…