Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happily married, lakini mwenzenu huyu mtangazaji wa ITV ananiua kimahaba. Nampenda hadi naumwa. Amu njoo unisaidieee.
Ww hujawahi kumtaman au kumpenda mwanamke mwingine tofaut na uliyenaye na wit time ikaisha?ni kuvutiwa tu na mtu n nothing seriousDrama queen wewe juzi siumesema uko na x wako sababu hubby kidogo mambo co mazuri na unamkubali x wako sababu anayaweza na uliomba uashauri ufanyaje? Sasa leo umekuja na lingine duh kweli umenichosha sasa nikusaidieje sasa @Drama ueen
hii thread yake ya mwaka jana, huyu dem sio kabisa kazi kusifia waume za watuDrama queen wewe juzi siumesema uko na x wako sababu hubby kidogo mambo co mazuri na unamkubali x wako sababu anayaweza na uliomba uashauri ufanyaje? Sasa leo umekuja na lingine duh kweli umenichosha sasa nikusaidieje sasa @Drama ueen