Unanimaliza Buhohela

Unanimaliza Buhohela

Drama queen

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
157
Reaction score
289
Happily married, lakini mwenzenu huyu mtangazaji wa ITV ananiua kimahaba. Nampenda hadi naumwa. Amu njoo unisaidieee.
 
  • Thanks
Reactions: amu
amu unaitwa huku.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Barafuyamoto ktk dk 45 yaani ana maswali na pozi flani za mwanaume anayejielewa...hadi siku hz siangalii dk 45 nikiwa na hubby kwasababu situliagi kwny kochi nanyevuka tu aaarrggghh hayupo humu?
 
Karucee hata ww unaweza nisaidia jamani nimemuita amu coz kuna chat flani tulikua tunamjua mtu..km unavyoona mie mgen kidogo wa kupost tho nawasomaga saana
 
Barafuyamoto ktk dk 45 yaani ana maswali na pozi flani za mwanaume anayejielewa...hadi siku hz siangalii dk 45 nikiwa na hubby kwasababu situliagi kwny kochi nanyevuka tu aaarrggghh hayupo humu?

Sawa, basi endelea kumuinjoi kisirisiri!
 
so it means uko tayari kumsaliti mumeo ugawe uroda kwa BUHohela?
 
Last edited by a moderator:
Hilo pepo lililokaa kwny kiuno ninaamuru likuachie haraka kwa jina la yesu kristo, toka toka toka we jini mahaba mwachie huyu dada haraka toka kwny ufahamu wake kwa jina la yesu kristo. ninakukomboa kutoka vifungo vya zinaa nakuweka huru tangu sasa kwa mamlaka ya damu ya yesu kristo, amen
 
Back
Top Bottom