Unanimaliza Buhohela

Unanimaliza Buhohela

ilo pepo lililokaa kwny kiuno ninaamuru likuachie haraka kwa jina la yesu kristo, toka toka toka we jini mahaba mwachie huyu dada haraka toka kwny ufahamu wake kwa jina la yesu kristo. ninakukomboa kutoka vifungo vya zinaa nakuweka huru tangu sasa kwa mamlaka ya damu ya yesu kristo, amen

hahhahaha
 
Mnaonishambulia, I don't care since I dont mind, even if it was a One night stand with him... Hamjawahi juwacheat bf/ gf mume/ mkeo?? Come on lets b true to ourselves.... GENTAMYCINE that's what's up. Nina report nae maalum... Kwanza huku taingia chaka ngoja nimfwate uko uko ITV... Lol.
 
Last edited by a moderator:
Huyu pia ni mtunzi wa hadithi, tangu akiwa Radio Kwizera Ngara..
Ukitaka kujua habari zake watafute akina Beata Peter Kisaka, Juventus Juvenile n.k wapo Ngara.
Pole kwa Upendo.
^^
 
Wanawake wa siku hizi ni sawa na kukaa na bomu ndani. Mda wowote linalipuka, halafu kutwa kucha wanatusema sie ndo tunachepuka.
 
Happily married, lakini mwenzenu huyu mtangazaji wa ITV ananiua kimahaba. Nampenda hadi naumwa. Amu njoo unisaidieee.

pole sana na hongera
ila hafai huyu kaka
kamtendea dada angu vbaya sana....!!!
 
Barafuyamoto ktk dk 45 yaani ana maswali na pozi flani za mwanaume anayejielewa...hadi siku hz siangalii dk 45 nikiwa na hubby kwasababu situliagi kwny kochi nanyevuka tu aaarrggghh hayupo humu?

Kweli wewe Drama queen, hapa napo naona una dramatize 😕
 
Happily married, lakini mwenzenu huyu mtangazaji wa ITV ananiua kimahaba. Nampenda hadi naumwa. Amu njoo unisaidieee.
Nyie akina dadapoa wa Kimboka na meeda tafadhali rudini huko huko. Huku JF biashara hiyo haina soko
 
Nyie akina dadapoa wa Kimboka na meeda tafadhali rudini huko huko. Huku JF biashara hiyo haina soko

Ha ha haaa 4ur information its true nimeolewa tena wit a very reputable person..kumbe ukichepuka mara moja unakua malaya wa meeda?
 
Swadakta geniveros want to know if ile goodlookin ya nje na ndani ipo? Ha ha haa ths is crazy labda ni crash soon itaisha but nimekamatika yaani akiongea nafwaaa...nisaidie basi kuniombea # kwa sicy
 
Wazinzi hawataisha hadi Mungu aje maana watachomwa moto.
Kama hamuwapendi hao mlio olewa nao si muwaache mkamfate huyo Buhohela
 
Back
Top Bottom