Unanipa siri zako halafu unaniambia nisimwambie mtu..

Halafu ikitokea.... nikajua kuwa ameshatangaza... najifanya kumuuliza.... utamskia "yaani watu wambea kakangu..." nabaki nacheka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na uzuri ushamjua vyemaa
 
Kuna msela wangu mmoja huyo yeye ukimhadisia lolote haifiki saa limoja kishamwambia kila mtu. Hivi sasa nikikaa nae simhadisii kitu


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Hahahaaa. Yaani vile unamuhadithia tayari akilini anapangua nani akamuhadithie. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Duuh! Kazi anayo.
 
Uwe unakataa kama huwez kumtunzia siri mwenzio.

labda lengo la kukuambia siri io anaweza akawa anahtaji ushauri ndo mana kakwambia kama huwez mchane. so kupokea siri afu kutunza siri hutaki.
 
Nawakumbusheni tu,ukimwambia siri yako muhaya,mkerewe,mjita,mkurya,muha au msukuma hiyo siyo siri tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…