Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Na wewe hutunzi siri za wenzio?[emoji848]Classified
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe hutunzi siri za wenzio?[emoji848]Classified
Na wewe hutunzi siri za wenzio?[emoji848]
Huwa nikiwa na jambo langu afu nataka familia nzima wajue..... huwa namuambia yeye! afu nampa angalizo..... usimuambie mtu...! dk 1 nyingi... habari zishaenea....Ahahhaa huwaga hawajioni kabisa
AhahahahahahhahaHuwa nikiwa na jambo langu afu nataka familia nzima wajue..... huwa namuambia yeye! afu nampa angalizo..... usimuambie mtu...! dk 1 nyingi... habari zishaenea....
Halafu ikitokea.... nikajua kuwa ameshatangaza... najifanya kumuuliza.... utamskia "yaani watu wambea kakangu..." nabaki nacheka!Ahahahahahahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na uzuri ushamjua vyemaaHalafu ikitokea.... nikajua kuwa ameshatangaza... najifanya kumuuliza.... utamskia "yaani watu wambea kakangu..." nabaki nacheka!
Hahahaaa. Yaani vile unamuhadithia tayari akilini anapangua nani akamuhadithie. 😀😀😀Kuna msela wangu mmoja huyo yeye ukimhadisia lolote haifiki saa limoja kishamwambia kila mtu. Hivi sasa nikikaa nae simhadisii kitu
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Na mimi namuambiaga yale mambo ambayo nataka familia iyajue.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na uzuri ushamjua vyemaa