Unanipa siri zako halafu unaniambia nisimwambie mtu..

Unanipa siri zako halafu unaniambia nisimwambie mtu..

Halafu ikitokea.... nikajua kuwa ameshatangaza... najifanya kumuuliza.... utamskia "yaani watu wambea kakangu..." nabaki nacheka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na uzuri ushamjua vyemaa
 
Uwe unakataa kama huwez kumtunzia siri mwenzio.

labda lengo la kukuambia siri io anaweza akawa anahtaji ushauri ndo mana kakwambia kama huwez mchane. so kupokea siri afu kutunza siri hutaki.
 
Nawakumbusheni tu,ukimwambia siri yako muhaya,mkerewe,mjita,mkurya,muha au msukuma hiyo siyo siri tena!
 
Back
Top Bottom