mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Kwanini Hailipi? Na je unaendelea kuifanya au umeshaacha?Kwa experience yangu mpaka sasa. Hailipi.
Nasema hailipi sababu maybe ya expectations zangu before na vile watu walinieleza.Kwanini Hailipi? Na je unaendelea kuifanya au umeshaacha?
Nini sababu za kusema hailipi? Umetumia vigezo gani ? Na je umejifunza Nini? Na Kipi unakosea/umekosea labda ungependa yeyote anayetaka kufanya Ajifunze Nini kwanza?...
Tunaomba msaada....
Changamoto zaidi niniKwa experience yangu mpaka sasa. Hailipi.
Tazama post ya juu nimeelezeaChangamoto zaidi nini
njoo in box siple tu ila kunauwezekano wa kustukiwa mf noah uipe cc chini ya 1500 gari ambazo sio comon au wasikague sana wawe wanasoma tuWe mdau aliekurekebishia mchongo wote hauna namba yake tufanye kazi.
We are still waiting for you to write something "mjomba"!!Madem ni sumu. Hii kazi nimepiga kwa miez 6 nilipata sana pesa ngoja nitaandika siku uzi nikitulia ila ni Ajira nzuri kama utakua Smart.
Mkuu Uzi amesha uandika ndio uzi pendwa kwa sasa unawasomaji zaidi ya 1Million comment 5800+We are still waiting for you to write something "mjomba"!!
Nipe headline ya uzi husika nikautafute mkuu.Mkuu Uzi amesha uandika ndio uzi pendwa kwa sasa unawasomaji zaidi ya 1Million comment 5800+
[emoji116]Nipe headline ya uzi husika nikautafute mkuu.
Madem ni sumu. Hii kazi nimepiga kwa miez 6 nilipata sana pesa ngoja nitaandika siku uzi nikitulia ila ni Ajira nzuri kama utakua Smart.
Madem ni sumu. Hii kazi nimepiga kwa miez 6 nilipata sana pesa ngoja nitaandika siku uzi nikitulia ila ni Ajira nzuri kama utakua Smart.