mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Wanaitwa slay queens hawana msaadaTunajua mkiwa wenyewe mtakula vibandani sasa sisi wageni tukiwatembelewa inakuwaje? je mtatupeleka huko vibandani au mtatuagizia chipsi kwa mangi?
hlf mtu uyo gani anaogopa maji au dume hilo? maana navojua hao watu na maji inatakiwa wao na maji, maji na wao yani kama pipa na mfuniko wake
sasa si bora umtwae uyo beki 3?Mama la mama apike, huyo beki 3 ana kazi gani?
watu ni kama wanabishana na ukweliMama la mama apike, huyo beki 3 ana kazi gani?
Akiungua huko jikoni itakuaje.
Unatakiwa ujue kuitumia hela, yaani nina kibunda halafu mama la mama aingie jikoni??? How come!!
Kuna wengine hata hizo kazi za kushinda huko hawana ila muda wa kupika nao hawana.watu ni kama wanabishana na ukweli
atapika saangapi wakati anashinda kazini kama tujuavyo maisha ya siku hizi
chuga moja hiyoeti mama la mama ndo lugha gani hi ya kukera?