Unaoga mara ngapi kwa siku?

Naoga basi tu ila sipendi kuoga kabisa.

Nkipata mara 1 tu inanitosha.

Ila Naoga kweli. Nikiingia bafuni utanisahau
 
Unapoamka unaoga, baada ya mishughuliko ya siku jioni unaoga! Kuna zaidi ya hapo? Jibu ni mara mbili kwa siku, labda uwe na matatizo.
 
A real man should bath three times a day
Asubuhi macho
Mchana mikono
Usiku miguu
Are we together?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mmh..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili swali ili takiwa uulize kwa wiki sio siku
 
Kuoga ni ushahidi ulikua mchafu, kuoga kwingi ni uthibitisho wa uchafu mwingi
 
Mimi kwangu neno kuoga sio neno katika kamusi yangu yaani hakitumiki kabisa zaid ya kutokea bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…