Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?


Mpango wa vikolezo vya kufanya mwili unukie kwa wengine ni kero. Bora wengine wafurahie kujua sabuni gani inakufaanya usiwe na harufu yo yote ila ubaki nutra ndio mpango mzima.
 
Hakuna moment naipenda kama kuoga...hivyo niko tayari ku spend kiasi chochote nipate sabuni inayonivutia...na napenda kubadili harufu tofauti tofauti...

Nilishangaa kuwa tuko wengi tunaopenda kuoga...kuna colleague zangu walianzisha hiyo topic...yani ukiwa bafuni na sabuni nzuri una refresh mawazo kinoma....nadhani ni hobby ya wanawake wengi kuoga na sabuni nzuri (si zenye harufu kali maana wengine tuna allergy...kuna harufu nyingi nzuri)
 
Mpango wa vikolezo vya kufanya mwili unukie kwa wengine ni kero. Bora wengine wafurahie kujua sabuni gani inakufaanya usiwe na harufu yo yote ila ubaki nutra ndio mpango mzima.

upo sawa, kama sabuni Jamaa na mafuta ni Vestline au Nivea mgando...au ni alizet mkuu?
 
aiseeer itabidi nijaribu

kuna hii inaitwa kodrai ipo vzr sana pia ila kuna msabuni flani wa nje mzuri tu sema mkubwa mpk kwenye mkono unazidi ni rahisi kuponyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…