ni ya kipande au packet?
Mie naogea magwanji...
Wengine hapa hata hela ya kubadilisha mboga tunashindwa wewe unatuletea mambo sijui naogea sabauni gani?
Wewe mtoto wa kishua acha kutudharau bana na kumbuka aliyekupa wewe neema ndiyo kaninyima mm!
Sabuni ya kuogea ni luxury product kwangu yyt ile bafuni ya mpangaji mwenzangu nikiikuta mm natumia
Kitu RUNGU, inatakatisha balaa
Hahahaaaa! sis umetisha! magwanji kweli? hiyo si ndo mnaitumia kuoshea masufuria bhana? hahahaaa!
Tumia na jamaa ya kenya kama mkuu lyinga.!
natumia gwanji linatoa povu jingi
Sabuni Nivea
Lotion: Nivea
Deodorant: Nivea
Spray: Nivea
Mmmh kumbe ndo mana naskia unanukia humu!!!!
Hahaha pua zako ni balaa
Harufu hadi jikoni loh unatuumiza pua!!!!