Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

Napenda sana products za dove. Ila kama unatumia sabuni tumia bar soap mana shower gel yake si nzuri.

Mi natumia shampoo na conditioner yake. Na body spray. Sabuni ilinishinda mana inateleza sana.


Thank dia
Hii shampoo na conditioner ni za.nywele?du wako full ngoja nihame olive oil
Nilikuwa cjui pia asante sana

Ok nitaendelea kutumia sabuni yake ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom