Unaogopa jambo gani kwenye maisha lisikutokee

Unaogopa jambo gani kwenye maisha lisikutokee

ta ni kuwaza kuwa kitu fulani mpk namaliza dunia hii hakitanipata!!!.. inashangaza kwa maana hii kuna wakati nilikuwa naona mpk nakuja kufutika sitakuja kuvunjika!,kumbe sijui mizimu ya mababu ilisikia huko ikaona kijana anadharau huyu wakanionyesha how it works!..🤣
I've never been in pain before like the pain i experienced that time!.. nashukuru nilipona sasa natufua vizazi vya mashangazi tu! so sitaki kuwaza kuwa kitu fulani hakitanipata kweli! naona kama kuna mizimu inatusikilizaga huko...!
 
Katika maisha Yako ukiachana na umauti ambao Kila nafsi itaonja., Ni jambo gani hutamani likutokee Mimi binafsi naogopa Radhi za wazazi na kupata maradhi makubwa kama AIDS na Kansa. Je wewe mwenzangu unaogopa nini lisikukute Jambo gani maisha?
life is so simple nothing to fear provided that God is in control
 
Back
Top Bottom