Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Sema wewe hujawahi ila wanaosuta wapo,.sisi hatujui kusuta zaidi ni matusi ya nguoni tu tutakuvurumushia
Imagine namshauri mtu aachane na mtu wake tena kwa kujiamini kabisa bila kujua kumbe wapo wote wameniweka na loudspeaker nyiee ni aibu😬😔