Unaogopa jambo gani kwenye maisha lisikutokee

Unaogopa jambo gani kwenye maisha lisikutokee

Naogopa maradhi,
Afya ndio kila kitu,

Mungu atulinde sote na atupe afya njema,na wenye maradhi awaponye kwa uwezo wake.
 
Katika maisha Yako ukiachana na umauti ambao Kila nafsi itaonja., Ni jambo gani hutamani likutokee Mimi binafsi naogopa Radhi za wazazi na kupata maradhi makubwa kama AIDS na Kansa. Je wewe mwenzangu unaogopa nini lisikukute Jambo gani maisha?
Wake zawatu, aisee nipo tofauti nao sana

Hata ningekuwa na ulinzi wa Rais sijawahi ku-entertain kabisa hao watu

Haimaanishi kuwa wangu ndio atakuwa salama kisa wao siwataki, la hasha bali ni principles tu nilizojiwekea na sitokuja kubadili kamwe
 
Back
Top Bottom