Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Vilabu vya Simba SC, Yanga SC na Azam FC vimezindua rasmi jezi zao zitakazotumika katika msimu wa 2026/27, huku kila klabu ikiwasilisha muundo mpya unaoakisi utambulisho wake na malengo ya msimu mpya.
Unaoje uzi mpya wa Simba, Yanga na Azam wa msimu wa 2026/27?
Unaoje uzi mpya wa Simba, Yanga na Azam wa msimu wa 2026/27?