Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,069
- 25,172
Upside down1. AZAM
2. SIMBA
3. YANGA.
Upside down1. AZAM
2. SIMBA
3. YANGA.
Uongo.Upside down
Za Simba hujaziona NENDA kazicheki tenaYanga wametoa jezi nzuri
Azam jezi zao sio mbaya sana
Simba sio siri zinachekesha [emoji16]
Nothing new. Hazina hamasaZa Simba hujaziona NENDA kazicheki tena
Wagawe tu bure kama Bakhressa anavyogawa hela Ijumaa au waziuze kwa bei kama zile jezi wanazonunua watu Kariakoo za matimu ambayo hata hayajulikani huko duniani uone kama itakosa watu wa kuivaa.Azam FC wametoa uzi mzuri sana lakini shida yao kubwa iko palepale, jezi haina mashabiki wa kuivaa.