Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Itakua Barcelona Iyo mkuu.

Huu umejaa laana Ni mji wa ngono tupu.

Wee angalia masanamu wanayotengeneza KWENYE kupamba garden kwenye mzunguko wa roundabout barabarani[emoji4][emoji116]
images-608.jpg
images-611.jpg
images-610.jpg
images-606.jpg
images-605.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa starehe za kiwango cha kutisha kwa sasa mahali pake ni katika visiwa Maldives vilivyopo ndani ya Bahari ya Hindi huko Asia.

Haipo starehe ndani ya Ulimwengu huu utaikosa huko Maldives!

Matendo ya kishetani yatendekayo katika visiwa vile ni zaidi ya kusimuliwa.

Usichokijua Visiwa hivyo vipo kwenye hatari ya kumezwa na Bahari ndiyo maana watu wengi wa Mungu wanadai hiyo pengine ni adhabu fanani na ya Sodoma na Gumola.
Unaweza kuzitaja hizo starehe??.
 
Acha kupotosha jamii hivo visiwa ni vya kimasikini sana wengi wao wanakimbilia India kusoma na kutafuta maisha,rai wake ni rangi nyeusi wenye nyele ndefu kwakifupi ni waAfrica wenzetu kabisa..Kama kuna uovu wowote ni foreigners ndio wamepeleka huko.
Foreigners ndio akina Nani?
 
Kwan nauli ni sh.ngapi kwenda huko mkuu?
Nauli inategemea unaenda mwezi gani na unatumia ruti ipi kutokea DAR.

Kuanzia mwezi December mpaka mwezi wa April nauli za kwenda Spain zinakua cheap Sana kwa maana sio miezi ya watu kula Bata
(Miezi ya Bata sana Ni kuanzia May mwishoni au JUNE mwanzoni mpaka kwenye November mwanzoni)

Ukitumia ruti ndefu,
utatumia Zaid ya siku tatu kufika na nauli itacheza around 2.5million mpaka unaingia marbella.
[emoji117]Dolla 520 DAR- DUBAI
[emoji117]Dolla 470 DUBAI-BARCELONA
[emoji117]Dolla 50 BARCELONA- MALAGA (marbella airport)

Ila ukitumia ruti fupi zaidi,
Utatumia siku Moja TU ushingia Malaga.
Maana utatumia Expressflight za Moja kwa Moja kutoka dar, afu johanessburg (kuongeza mafuta) Kisha unatua Barcelona.
Kisha unachukua vindege vidogo vya kukufikisha malaga, ambako ndo marbella iliko.

Hapo sio chini ya million 4.5 mpaka unatua Malaga marbella[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umefukunyua mpaka umepata ila DeepPond anatudanganya ni marbella pekee! Umekuja kujibu hoja zake sasa
Kwenye Suala la baiskeli sijasema marbella pekee ndo huwa wanafanya.

Ila uku kwetu Dunia ya tatu Ni kitu ambacho hakijazoeleka kutokana na utamaduni wetu. Ndo maana Niliweka.

Hizo kuendesha baskeli uchi nchi nyingi kwa Sasa zinafanya, netherland, Czech na Slovakia, England hata Poland na Canada hii kitu imetamalaki Sana.

Mada yetu ilijikita marbella, ndo maana nilistick pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha mpka wanyama kuwashirikisha kingono, hakuna watu wa haki za wanyama kukemea hili?
Uko kwa wanyama mbona umeenda mbali Sana.

Childpornograpy zimepigwa marufuku dunia nzima mpk na umoja wa mataifa

ila uko Thailand, USA, south Korea , Amsterdam n.k bado Kuna vyuo vinatrain ngono na vimesajiliwa na serikali zao kufundisha ngono na Kutoa vyeti kuanzia kwa watoto wa miaka 5 na kuendelea ili waje kua wafanyabiashara wa ngono, kwenye ukahaba, mameneja, madirector, producers na photographer wa matukio yote ya xxx

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauli inategemea unaenda mwezi gani na unatumia ruti ipi kutokea DAR.

Kuanzia mwezi December mpaka mwezi wa April nauli za kwenda Spain zinakua cheap Sana kwa maana sio miezi ya watu kula Bata
(Miezi ya Bata sana Ni kuanzia May mwishoni au JUNE mwanzoni mpaka kwenye November mwanzoni)

Ukitumia ruti ndefu,
utatumia Zaid ya siku tatu kufika na nauli itacheza around 2.5million mpaka unaingia marbella.
[emoji117]Dolla 520 DAR- DUBAI
[emoji117]Dolla 470 DUBAI-BARCELONA
[emoji117]Dolla 50 BARCELONA- MALAGA (marbella airport)

Ila ukitumia ruti fupi zaidi,
Utatumia siku Moja TU ushingia Malaga.
Maana utatumia Expressflight za Moja kwa Moja kutoka dar, afu johanessburg (kuongeza mafuta) Kisha unatua Barcelona.
Kisha unachukua vindege vidogo vya kukufikisha malaga, ambako ndo marbella iliko.

Hapo sio chini ya million 4.5 mpaka unatua Malaga marbella[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina noma shukrani kwa mchanganuo huo mzuri,naumuduuuuu, ngoja Nyanaume nidondoke kwa Joebidden kwanza nikajidunge chanjo ya ngwengwe manake nasikia wameshaanzwa kuchanjwa vitombizo kama mie, ili nikienda kuwala nisije kuwa na mawazo ya ninao ninaaaaaaaaaaaaaoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Uko kwa wanyama mbona umeenda mbali Sana.

Childpornograpy zimepigwa marufuku dunia nzima mpk na umoja wa mataifa

ila uko Thailand, USA, south Korea , Amsterdam n.k bado Kuna vyuo vinatrain ngono na vimesajiliwa na serikali zao kufundisha ngono na Kutoa vyeti kuanzia kwa watoto wa miaka 5 na kuendelea ili waje kua wafanyabiashara wa ngono, kwenye ukahaba, mameneja, madirector, producers na photographer wa matukio yote ya xxx

Sent using Jamii Forums mobile app
duh, dunia ina mengi ya kustaajabisha
 
Back
Top Bottom