Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Huwa najiuliza sana, huko watu wanafanya maasi ya kila aina na Mungu anawajaalia zaidi kila kukicha na hawana habari naye kabisa.
Sisi huku tunaokesha makanisani na misikitini mabalaa kibao, umasikini, njaa maradhi n.k