Unapafahamu Maldives? Huenda ndiyo Sodoma na Gomora ya leo

Spain ndo nchi ya pili kwa kuongoza kutembelewa na watalii wengi duniani.

Ila hawana mbuga Wala milima Wala wanyama.

Ngono zinawabeba sana[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ngoja kwanza sisi tuendelee kutengeneza movie tutangaze vivutio vyetu pasipo kuwa wabunifu kutengeneza vitu vya kuwafanya warudi ama waendelee kukaa zaidi.
 
Huwa najiuliza sana, huko watu wanafanya maasi ya kila aina na Mungu anawajaalia zaidi kila kukicha na hawana habari naye kabisa.


Sisi huku tunaokesha makanisani na misikitini mabalaa kibao, umasikini, njaa maradhi n.k
Ukiweza kujua farao alikuwa rangi gani na kwanini Musa alipokuwa anakua aliniona tofauti ndo utajua kwanini watu weupe wamebarikiwa na ngozi nyeusi haikubarikiwa
 
Kwahyo watu wasile bata kisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…