Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

Dodoma joto ni la hatari,Kuna mtu alibisha kipo Bora joto na Baridi,Baridi rahisi kuizibiti,Joto ni Nomaa!
Baridi unaongeza tu nguo mwilini, joto hata ukivua nguo zote ndio linakuchapa zaidi
 
Kukaaa chini ya mti na kunywa maji mengi sana
 
Umeosha lini hiyo AC na ni AC aina gan mkuu?
 
Dodoma joto ni la hatari,Kuna mtu alibisha kipo Bora joto na Baridi,Baridi rahisi kuizibiti,Joto ni Nomaa!
Dodoma ni sana kila kitu sana. Trachoma ni sana, ukoma ni sΓ na, vumbi ni sana, joto ni sana, upepo ni sana, nzi ni sana, uombaomba ni sana...
Dodoma ndio kuna jengo la kufanyia uombaomba, wenyewe wanaita bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…