LGE2024 Unapaswa kuchagua Wenyeviti wa Serikali za Mitaa kutoka Chadema ili kulinda Mazingira, Ofisi zote za serikali za Mitaa Nchi Nzima hazina vyoo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nyie Kama chama mmefanya nini??
 
Nimeisha jiandikisha mkuu, nasubiri drama za ccm ,moto utawaka
 
Watakuaje na vyoo wakati ni mafisadi na majizi makubwa ya Hela za umma! Pumbavu sana!
 
Chadema wanawaza kumwaga mzigo chooni, wakati CCM wanawaza kujenga daraja la Jangwani na Akulaza lami nchi nzima.

Kama ndio akili zao zinawaza Knya, Hawa ndio tuwakabidhi nchi?
 
Chadema wanawaza kumwaga mzigo chooni, wakati CCM wanawaza kujenga daraja la Jangwani na Akulaza lami nchi nzima.

Kama ndio akili zao zinawaza Knya, Hawa ndio tuwakabidhi nchi?
Akili yako imejaa kipindupindu tupu yaani! Hivi aliyeshindwa kujenga Choo ataweza madaraja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…