Unapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Habari wanaJF,
Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye .

"Utanifanya nini?"

Ivi unahisi hana cha kukufanya?

Maisha ni marefu sana "kumuliza mtu utanifanya nini? "

Duniani watu wamechanganyikiwa na mengi unaweza ukauliza mtu "utanifanya nini??"

Akabuni kitu cha kukufanya hapohapo na sisi tukauzuri msiba wako.

"Tukiwa tunaambia tu Marehemu " aliuliza watamfanya nini ? " kweli unakufa kisa swali

hekima huwa ni kukaa zako kimya .
 
Duuuh inasikitisha sana
 
Habari wanajf,
Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye .

"Utanifanya nini ??"
Ivi unahisi hana cha kukufanya...
Kweli Mkuu au nipige hujui mtu ana silaha Gani!Kifo ni Kifo tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…