Unapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye

Unapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye

Habari wanajf,
Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye .

"Utanifanya nini ??"
Ivi unahisi hana cha kukufanya ??
Maisha ni marefu sana "kumuliza mtu utanifanya nini ? "
Duniani watu wamechanganyikiwa na mengi unaweza ukauliza mtu "utanifanya nini??"
Akabuni kitu cha kukufanya hapohapo na sisi tukauzuri msiba wako.
"Tukiwa tunaambia tu Marehemu " aliuliza watamfanya nini ? "

kweli unakufa kisa swali

hekima huwa ni kukaa zako kimya .
Hajui kuwa watu zimefyatuka kulio wao
 
Habari wanaJF,
Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye .

"Utanifanya nini ??"
Ivi unahisi hana cha kukufanya ??

Maisha ni marefu sana "kumuliza mtu utanifanya nini ? "

Duniani watu wamechanganyikiwa na mengi unaweza ukauliza mtu "utanifanya nini??"

Akabuni kitu cha kukufanya hapohapo na sisi tukauzuri msiba wako.

"Tukiwa tunaambia tu Marehemu " aliuliza watamfanya nini ? " kweli unakufa kisa swali

hekima huwa ni kukaa zako kimya .
Niguse ninuke🤣~ alisikika marehemu mmoja
 
Back
Top Bottom