Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Tv zenye hadhi ya kukaa ukutani kwasasa ni angalau inch 43 nakuendelea ila 55-75 zinavutia zaidi. Tusiharibu kuta bila sababu za msingi.
Haya wale wadau wa makobazi, misuli na tende nimesha fungua duka Magomeni mapipa njoo kwa Boss la DP World upate baraka.
Haya wale wadau wa makobazi, misuli na tende nimesha fungua duka Magomeni mapipa njoo kwa Boss la DP World upate baraka.