Unapata wapi ujasiri wa kufunga ukutani TV ya inch chini ya 40?

Ikiwa nimenunua kwa pesa yangu na ukuta ni wangu, hata 24' naifunga ukutani.

Ingekuwa 40' hazipaswi kufungwa ukutani basi wasingeweka matundu ya kufungia brackets. Usikariri maisha bwashee.

Halafu ukute wewe mwenyewe hata 32' hunaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, ila ndio ule utajiri wa nadharia wa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…