Unapata wapi ujasiri wa kufunga ukutani TV ya inch chini ya 40?

Nataka msuli,tende,tender, kama nikipata na kitunga....itapendeza zaidi
 
Ukubwa wa tv unaendena na ukubwa wa sebule.sasa wewe unataka afunge 43" kwenye kachumba kadogo?
Nimegundua Watanzania wengi hawajui kama Ukubwa wa TV unaendana na ukubwa wa sebule pamoja na yote kuna umbali wa kukaa ambao nao unaendana na ukubwa wa TV
 
Kwa chumba gani unafunga hiyo tv ya inch 43 au unaona ni ufahari wakati unauwa macho
 
Unaweza kuta anaeandika uzi huu yupo kitandani amejilaza kwenye godoro lina matobo matobo aliloachiwa na babu yake.

Alafu tumboni yanacheza maharage mawili aliokula jana na ugali alioacha kiporo juzi.

Maisha yaendelee
Mara nyingi wa design hii huwa wamepewa hifadhi aidha na ndugu ama shemeji. Mida hii anatamba baada ya wenyewe nyumba kutoka. Keshaweka bundle lake la jero, ana kazi ya kuandika uharo mixer kumzengea beki tatu.
 
Mara nyingi wa design hii huwa wamepewa hifadhi aidha na ndugu ama shemeji. Mida hii anatamba baada ya wenyewe nyumba kutoka. Keshaweka bundle lake la jero, ana kazi ya kuandika uharo mixer kumzengea beki tatu.
Haha alafu kaeka miguu miwili kwenye egemeo la sofa utafikir ni lake
 
Wengine wanaenda mbali zaidi na kufunga nchi 19 ukutani .kame kaa kama ipad
 
Mbona inasemekana TV kubwa hazikai ukutani...kwamba huwezi kuwa na Nchi 50 ukaiweka ukutani..
TV zinazo kaa ukutani na kuvutia ni ndogo tu..
 
Bosi la DPW unaona tv ndio kitu cha maana?

Bosi uchwara wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…