Unapata wapi ujasiri wa kufunga ukutani TV ya inch chini ya 40?

Mambo ya ajabu haya, kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Kama unawaonea huruma wanunulie hizo 55" basi, otherwise hayo sio mambo ya kupangia watu.
 
KUFUNGA TV UKUTANI NI UMASKINI TV HUKAA JUU YA SHOWCASE
 
Kwa hio hizi monitor zetu tusizifunge ukutani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…