Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

Unapata wapi ujasiri wa kumwacha kwa kashfa Mpenzi wako ambaye ana picha zako zako utupu?

Swali langu ni hilo tu,mtu ambaye ulishamtumia picha/video zako ukiwa uchiiii na unajua bado anazo, unaweza vipi kuanza kumdhalilisha mbele za watu?
Kwanza kwanini ujipige au upigwe picha ukiwa uchi?

Pili kwanini umtumie mtu picha zako za uchi? (Kwanini kwanza ujipige picha ukiwa uchi????) Huo si wendawazimu.
 
Sasa picha za utupu zinazuia nini kuachana na mtu...
Au kwamba kuonekana kisimi kirefu au kifupi ndiyo itakuwa ni kisimi Cha kwanza duniani?
Haya mambo ya kutishana kwa picha za uchi yalishapitwa na wakati..labda ungesema ataua watoto au wazazi kama kawafahamu
Duuuuh nakumbuka mara ta mwisho ulisema utakua unatumia tafsida 😂 😂 😂 🙌 🙏 🙌 😂
 
Sasa picha za utupu zinazuia nini kuachana na mtu...
Au kwamba kuonekana kisimi kirefu au kifupi ndiyo itakuwa ni kisimi Cha kwanza duniani?
Haya mambo ya kutishana kwa picha za uchi yalishapitwa na wakati..labda ungesema ataua watoto au wazazi kama kawafahamu
Watu wanajiua mjue, psychological torture hiyo, huwezi kukaa sawa wakati utupu wako unatembezwa kuanzia insta, x, fb nk...labda kama ulishakata kamba
 
Back
Top Bottom