Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
Mwalimu wa waalimu mbele ya waaaaaalimu🙌🏾🙌🏾😂Sasa picha za utupu zinazuia nini kuachana na mtu...
Au kwamba kuonekana kisimi kirefu au kifupi ndiyo itakuwa ni kisimi Cha kwanza duniani?
Haya mambo ya kutishana kwa picha za uchi yalishapitwa na wakati..labda ungesema ataua watoto au wazazi kama kawafahamu