Sema suuMbona anaachwa fresh tu. Akivujisha naenda policeπ€£π€£.
Kwanza kwanini ujipige au upigwe picha ukiwa uchi?Swali langu ni hilo tu,mtu ambaye ulishamtumia picha/video zako ukiwa uchiiii na unajua bado anazo, unaweza vipi kuanza kumdhalilisha mbele za watu?
Suu!!!! Mwaga mzigoSema suu
Nipe 2 minutesSuu!!!! Mwaga mzigo
Sawa ngoja nitangulie kituo cha police kilichopo karibu yangu ili inirahisishie.Nipe 2 minutes
Tutauona, tutauthaminisha...tutaupa marks. Ni hayo tu!!Kipya nini kwenye huo uchi
Duuuuh nakumbuka mara ta mwisho ulisema utakua unatumia tafsida π π π π π π πSasa picha za utupu zinazuia nini kuachana na mtu...
Au kwamba kuonekana kisimi kirefu au kifupi ndiyo itakuwa ni kisimi Cha kwanza duniani?
Haya mambo ya kutishana kwa picha za uchi yalishapitwa na wakati..labda ungesema ataua watoto au wazazi kama kawafahamu
Kumbe huwa mnatumiana picha za utupu?Swali langu ni hilo tu,mtu ambaye ulishamtumia picha/video zako ukiwa uchiiii na unajua bado anazo, unaweza vipi kuanza kumdhalilisha mbele za watu?
Watu wanajiua mjue, psychological torture hiyo, huwezi kukaa sawa wakati utupu wako unatembezwa kuanzia insta, x, fb nk...labda kama ulishakata kambaSasa picha za utupu zinazuia nini kuachana na mtu...
Au kwamba kuonekana kisimi kirefu au kifupi ndiyo itakuwa ni kisimi Cha kwanza duniani?
Haya mambo ya kutishana kwa picha za uchi yalishapitwa na wakati..labda ungesema ataua watoto au wazazi kama kawafahamu
Wee zombie haujuiii...Kipya nini kwenye huo uchi
π€£π€£Am sorry πDuuuuh nakumbuka mara ta mwisho ulisema utakua unatumia tafsida π π π π π π π